Watanzania 27 wajeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Falcon. Basi hilo lilianguka katika njia kuu ya Masaka.

Majeruhi hao walikuwa njiani kuelekea Namugongo katika sherehe za siku ya Martyrs ambayo ahudhimishwa na Waumini wa Kanisa Katoliki kote duniani kila ifikapo Juni 3 kila mwaka.