Tuesday, June 27, 2017

Serikali Yazikamata Mali Za Vigogo IPTL

Serikali  imekamata mali za wafanyabiashara Harbinder Singh Sethi na mwenzake James Rugemalira wanaohusishwa na uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya...

Uchaguzi Kenya: Matokeo Kutangazwa Bungeni

Uchaguzi wa Kenya utafanyika tarehe nane mwezi Agosti mwaka huu ambapo Rais Uhuru Kenyatta atang'ang'ana kuhifadhi wadhifa wake dhidi ya mpinzani wake wa jadi...

Hili Hapa Jiji Ghali Zaidi Duniani Linapatikana Afrika

Mji mkuu wa Angola, Luanda, umechukua nafasi ya kwanza kama mji ghali zaidi duniani kwa wataalamu na kuusukuma mji wa Hong Kong hadi nafasi...

Kiasi Cha Pesa Ambacho Messi Atapaswa Kulipa Ili Asiende Jela

Nyota wa soka duniani Lionel Messi huenda akaamua kulipa faini kukwepa kifungo cha miezi 21 jela ambacho alihukumiwa na mahakama Uhispania kwa kosa la...

Wananchi Waipinga Kauli Ya Rais Magufuli Kuhusu Wanafunzi Wanaobeba Mimba

Kauli ya Rais wa Tanzania John Magufuli kwamba wasichana wanafunzi wanaopata ujauzito wasirudi shuleni imepingwa na baadhi ya wananchi na wanaharakati wakisema wasichana hawa...

NASA: Kuna Sayari Nyingine 10 Zenye Uhai

Wataalam wa maswala ya anga wametangaza ugunduzi wa sayari nyingine kumi angani ambazo huenda zinaweza kuwa na uhai. Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani...

MWIGULU NCHEMBA AJENGA MABWENI YA WASICHANA KWA SEKONDARI 22 ZA SERIKALI...

Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ameanzisha Ujenzi wa hostel za kike 22...

Kenya: Shule Yafungwa Kufuatia Waalimu Kupigwa Na Wanafunzi

Shule moja nchini Kenya imefungwa baada ya wanafunzi kuwavamia na kuwapiga walimu, kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation la nchi hiyo. Gazeti hilo linasema...

Mama Amuua Mtoto Wake Kwa Kumtupa Ziwani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Ahmed Msangi amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Nyamisi Bahati (27) anayedaiwa kumuua mtoto wake aitwaye Sakimu Hassani baada...

MBUNGE HECHE ATAKA KINA KIKWETE WAHOJIWE JUU YA MIKATABA MIBOVU.

Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ameitaka Serikali kuwahoji marais wastaafu ili kufahamu ushiriki wao kwenye sakata la mikataba ya madini. Amesema kwa ripoti...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar