Kuna moment Fulani za mwanzo kwenye maisha ambazo huenda hupendi kabisa kuziona au kuzisikia especialy kwenye kazi ya Sanaa,ukijingalinisha na ulivyo sasa,na miongoni mwa watu hao ni pamoja Alikiba ambaye huwa anaona jau kinoma kujisikiliza the way alivyokuwa anaimba lakini Alikiba anaungana na mkali wa shape of you Ed shereen ambaye na yeye huwa hapendi kabisa kukumbuka the way alivyokuwa akiimba kipindi cha nyuma japo kuna watu ambao walikuwa wakimuambia yeye ni mkali lakini yeye aliona hakuna kitu,hebu cheki hapa akifunguka kuhusu inshu hiyo alipokuwa kwenye kipindi cha the Jonathan show.

Kuna ripoti ambayo imetolewa na mtandao wa bbc ambayo inaonyesha kila hit song ambayo inatoka na kusumbua dunia basi kuna uwezekano wa Zaidi ya watu asilimia 4.58 wameshiriki katika kuandika mashairi ya wimbo huo na miongoni mwa hit songs ambazo zimetolewa kama mfano ni wimbo wa one dance wa drake ambao ndio uliongoza kwa mauzo mwaka 2016 ambapo watu Zaidi 13 walishiriki kuandika mashairi ya wimbo huo na Formation ya beyonce ambayo watu 12 walishiriki na kuweza kuufanya wimbo huo ukaweza kuchukua tuzo mbalimbali za billbords na kadhalika,sasa kuna haja ya wasanii wetu wa bongo kushirikisha watu Zaidi katika uandaaji wa ngoma zetu ili tuweze kutoa kitu kizuri Zaidi.