Mapenzi mubashara ndio lugha rahisi unayoweza kuitumia hapa, Tangu kuwekwa wazi kwa mahusiano yao wanamuziki Selena Gomez nampenzi wake The Weekend wamezidi kuonyesha hakuna wanachohofia, Kama ni mfuatiliaji mzuri wa stori za mastaa huenda ulikutana na picha za wawili hao waki-Kiss kwenye  tamasha la Metgala bila kujali ni wingi wa watu na paparazi waliokua wakiwatolea macho.

Taarifa kutoka kwenye vyanzo vya karibu na wapenzi hao zilidai kuwa hata mama wa Selena anafurahia mahusiano hayo,

Kwa mujibu wa mtandao wa “CelebStarZ” TheWeekend anatajwa kununua nyumba yenye thamani ya dola milioni 18 kwa ajili ya kupumzikia yeye na mpenzi wake huyo…

ANGALIA HAPA VIDEO YA NYUMBA HIYO: