Tuesday, June 27, 2017
Page 3

Upo Dar Es Salaam,Unapenda #Shopping Za Bei Rahisi?, Imiliki Wikiendi Hii...

Wikiendi Hii Itaenda Kuwa Poa Sana Kwa Wakazi Wa Jiji La Dar Es Salaam Na Vitongoji Vyake Kwani Ule Mpango Wa Bidhaa Kuuzwa Kwa...

Arsene Wenger Akubali Kuitumikia Arsenal Kwa Miaka Miwili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo. Mfaransa huyo amekuwa...

Watanzania Wajeruhiwa Ajali Ya Basi Uganda

Watanzania 27 wajeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Falcon. Basi hilo lilianguka katika njia kuu ya Masaka. Majeruhi hao walikuwa njiani kuelekea Namugongo...

Mwanamuziki Wa Marekani Anaetuhumiwa Kuiba Wimbo Wa Phyno

Muziki wa Afrika umekua mkubwa ni wazi umefanikiwa kutoboa anga na kupenya level za mbali, Naam hivyo ndivyo naweza kusema baada ya kukutana na...

Upepo Mkali Kuyakumba Maeneo Ya Bahari Ya Hindi

Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari  kubwa kwa wakazi wa ukanda wa pwani kuwa kutakuwepo na upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo...

“Show Me” Ya Harmonize Na Rich Mavoko Wimbo Wa Afrika Mashariki

Huenda ni kitu ambacho hakikuwa kwenye mawazo yao wakati wa uandaji wa wimbo "Show Me",habari njema zaidi kwa Harmonize na Rich Mavoko ni hii...

Damu Ya Ng’ombe Inavyotumika Kama Chakula Cha Mifugo Dar Es Salaam

Kundi moja la kina mama mjini Dar es Salaam, wakiwemo wajane na waathrika wa Virusi vya Ukimwi, wameungana na kubuni njia ya kuvutia ya...

Mangu Awaomba Wananchi Kumuunga Mkono IGP Siro

Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amewataka wananchi kumpa ushirikiano IGP mpya, Simon Sirro katika kukabiliana na matukio ya uhalifu...

Burundi: Wasiofunga Ndoa Kukiona Cha Moto

Watu wanaoishi katika mahusiano ya mume na mke bila kufunga ndoa nchini Burundi wameamrishwa kwamba wawe wameoana rasmi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu la...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar