Thursday, August 17, 2017
Page 27

Serikali yampokonya Mhe.Sumaye shamba lake..

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amepokonywa na Serikali shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuliendeleza. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,...

Ushindi umepatikana jana lakini Liverpool imepata pigo.

Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland. Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi...

Yaliyowakuta Neymar, Messi yamemkuta pia Samuel Eto’o.

Baada ya mikasa na tuhuma za kukwepa kulipa kodi kuwaandama wachezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi na Neymar Jr, sasa yamemkuta mchezaji wa...

Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro afariki dunia.

  Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul...

New Video: M-Rap f/ Mayunga – It’s Not Too Late

  Akiwa chini ya uongozi mpya wa Mukii International, M-Rap ameachia kazi yake mpya iitwayo ‘It’s Not Too Late’ aliyomshirikisha Mayunga. Wimbo umetayarishwa na Bob...

Andey Coutinho aliyekuwa anakipiga Yanga amepewa Unahodha.

Kama ulidhani aliyekuwa winga wa zamani wa Yanga, Andrey Coutinho, amepotea kwenye ramani ya soka, baada ya kutemwa na wanajangwani hao, utakuwa umekosea, kwani...