Tuesday, June 27, 2017
Page 23

Kollabo ya Diamond na PSquare imempa tuzo kutoka Nigeria.

Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya African Entertainment Legend Awards (AELA), za nchini Nigeria kwenye kipengele cha Best Collaboration (Africa) kutokana na wimbo wake Kidogo...

New Video: Dj Maphorisa & Wizkid -Good Love.

  Dj Maphorisa na Wizkid wameungana tena kwenye wimbo wa pamoja, Good Love. Umetayarishwa na Nana Rouges huku video ikiongozwa na Sesan Film Factory. Tazama Video...

Kampuni ya Vodacom Tanzania Yapeleka Maombi Ya Kujiunga Na Soko La...

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na   kujiunga kwenye   Soko la Hisa la Dar es...

Serikali yampokonya Mhe.Sumaye shamba lake..

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amepokonywa na Serikali shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuliendeleza. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,...

Ushindi umepatikana jana lakini Liverpool imepata pigo.

Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland. Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi...

Yaliyowakuta Neymar, Messi yamemkuta pia Samuel Eto’o.

Baada ya mikasa na tuhuma za kukwepa kulipa kodi kuwaandama wachezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi na Neymar Jr, sasa yamemkuta mchezaji wa...

Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro afariki dunia.

  Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar