Ibaada ya kuuaga mwili wa mke wa Waziri Harisson Mwakyembe inafanyika muda huu kanisa la KKKT Kunduchi Dar Es Salaam.