Mike Sonko ni mwanasiasa nchini Kenya lakini pia govoner wa jiji la Nairobi huyu jamaa amekuwa akijua sana kutengeneza trend kwenye mitandao ya kijamii na juzi kati tu hapa alimzawadia mkewe gari aina Range rover yenye thamani ya Zaidi ya milioni 20 siku ya birthday yake.

na ukiachana na hiyo inshu amechafua hali ya hewa tena mitandaoni baada ya kuonyesha kiatu chake ambacho amekinunua Zaidi ya milioni 2 kitu ambacho kinamfanya kuwa ni mwana siasa kuwahi kutokea nchini Kenya ambaye amekuwa na vibwanga vya hapa na pale hususan kwenye mitandao ya kijamii.