Mwanamuziki Katy Perry anasema kuwa anataka kumaliza kile kinachotajwa beef kati yake na mwanamuziki mwenzake Taylor Shift.

Tetesi za kuwepo kwa beef hiyo zimekuwepo kwa kipindi kirefu kati ya wanamuziki hao wawili na hii ni mara ya kwanza kwa wanamuziki hao kuiweka wazi ishu hiyo.

“kweli ni Kuna uhasama kati yetu ulianza na ni wakati wa yeye kuumaliza”, Kate Perry ameyasema hayo kwenye Kipindi cha “Late Late Show”baada ya mtangazaji James Cordon kumuuliza¬† kuhusu ishu hiyo

Tetesi kuhusu kuwepo kwa beef hiyo zililizuka kabla ya kutolewa kwa ngoma mpya ya Taylor Swift “Bad Blood”