Jennifer Lopez amewapa mashabiki wake kionjo cha wimbo wake mpya, Muimbaji huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye zaidi ya mashabiki milioni 65 amepost kipande cha video kinachomuonyesha akiimba wimbo “A Tu Lado” neno la kireno lenye tafsri ya “By Your Side” kwa Kiingereza.

Kwenye video anaonekana JLo akiwa na rafiki yake wakiimba wimbo huo ambao bado haujaachiwa rasmi. “Me And Tiana Making Sure This Spanish Album Is Ready” aliandika kwenye sehemu ya capption

Me and Tiana making sure this Spanish album is ready!! Disco en Espanol #pronto @nickyjampr #Atulado

A post shared by Jennifer Lopez (@jlo) on

Mpaka sasa Jlo hajaweka wazi tarehe ya kuiachia Albamu yake mpya amabyo itakua na nyimbo za Kireno, Albamu ambayo mwanamama Jennifer Lopez amekua akiipa promo kwa miezi kadhaa sasa. Licha ya kufanya na wadau wa muziki kutoka Hispania Mark Anthony (Mume wake wa zamani) anatajwa kuhusika katika ukamilishaji wa Albamu hiyo.