Muziki wa Afrika umekua mkubwa ni wazi umefanikiwa kutoboa anga na kupenya level za mbali, Naam hivyo ndivyo naweza kusema baada ya kukutana na hii stori ya mwanamuziki Phyno na timu yake kumtuhumu mwanamuziki PiA Mia wa Marekani kwa kuirudia kazi yake bila makubaliano.

Mapema mwishoni mwa mwaka jana {2016} Phyno aliiachia Album yake”The Playmaker” yenye ngoma zipatazo 20,

“I’m A Fan” ambao ni wimbo namba 13 kwenye albamu hiyo umerudiwa na mwandada Pia Mia kwa kile kinachotajwa ni bila makubaliano.

Isikilize Hapa “I’m A Fan” ya Phyno Ft. Dercarlo na Mr Eazi:

Baada ya kuisikiliza hiyo ya Phyno sikiliza hii ya Pia, Yaani tofauti ni hizo kolabo tu lakini kila kitu kiko sawa.

Pia Mia – I’m A Fan (Audio) ft. Jeremih

Kama tunavyojua wizi wa kazi za sanaa ni kosa la jinai kama yalivyo makosa mengine, Acha tusubiri battle ya Penthauze Music na Interscoop Record,