Macho na msikio ya wafuatiliaji wa siasa ulimwenguni kote kwa kiasi kikubwa yatakua yameelekezwa nchini Kenya ambako unafanyika wa Viongozi wa Serikali Kuu.

Vyombo Mbalimbali Vya Habari Vimeangazia Uchaguzi huo ambao unatarajiwa kukamilika na matokeo yote kutangazwa usiku wa Leo.

KTN ni miongoni mwa Vyombo vya habari vinavyozunguka kila kona ya Vituo vya Upigaji Kura kukusanya ripoti na takwimu za vile vinavyoendelea Nchiniu humo:

Unaweza Kufuatilia Matangazo Hayo ya Moja Kwa Moja: