Baada ya kutangazwa kama Solo Artist kutoka Yamoto Band Aslay anaendelea kuzichanga karata zake kwenye game ya Bongoflava, Ukiachana na Usiitie Doa ambayo mwanamama “Khadija Kopa” amehusika kwenye kolabo hii hapa ni “Muhudumu” ambayo ameaiachia jioni ya Mei 18/2017.

Enjoy nayo hapa: