Thursday, August 17, 2017

Video | @BankyW – Kololo

Inspired by, and shot in Dubai, please watch and share the video for Banky W's "Kololo". It was written and directed by Banky Wellington himself. For those based in Nigeria, Five Lucky...

Angalia Video Mpya Ya Dogojanja, Ukivaaje Unapendeza?

DogoJanja is back again na video ya wimbo wake mpya Ukivaaje unapendeza?, Enjoy nayo hapa: https://www.youtube.com/watch?v=XjiiZBeXHiU

Dakika 4 Za Aslay Kwenye Hii Video Ya Muhudumu

Baada ya kutangazwa kama Solo Artist kutoka Yamoto Band Aslay anaendelea kuzichanga karata zake kwenye game ya Bongoflava, Ukiachana na Usiitie Doa ambayo mwanamama "Khadija Kopa" amehusika kwenye kolabo hii hapa...

Joto Ya Dar Es Salaam Ft. Chekeda – Look At Me Dance (Official Music...

Joto Ya Dar Es Salaam na Chekeda wamerudi na hii inaitwa "Look At Me Dance" Angalia Video Kisha tuachiae maoni yako baadae tutaruka nazyo kwenye mitandao yetu ya kijamii. https://youtu.be/4XXcWPDdQgw

Video : DJ Khaled – I’m the One ft. Justin Bieber, Quavo, Chance the...

Kutoka kwenye Albamu yake "Greatful" (bado haijaachiwa), Dj Khaleed amewakutanisha Justin Bieber,Chance The Rapper, Quavo wa Migos na Rapa Lil Wayne. Mzigo unaitwa I'm The One.. Enjoy Nao Hapa: https://www.youtube.com/watch?v=weeI1G46q0o DOWNLOAD I'M THE...

Download Video: Avril – Uko

All the way from 254 mrembo Avril amedondosha video ya wimbo wake mpya "Uko" Enjoy na video yake hapa thentuambie unaionaje.. https://www.youtube.com/watch?v=eclfWEX8JrE&feature=youtu.be DOWNLOAD HAPA:

Furaha Ya Nuh Mziwanda Ni Uwepo Wa Video Hii, Itazame Hapa

Baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo Jike Shupa aliyompa mashavu mkali King Kiba Nuh Mziwanda amerudi kwenye kioo cha TV yako na Video ya wimbo wake mpya "Anameremeta" Dedication...

Video | Tekno – Yawa

Hivi tukisema kuweka ushabiki pembeni kwenye kumbukumbu zako baada ya kupata Tekno aliwahi kutoa ngoma gani ikabuma?, Binafsi ni mimi nitaitaja RaRa ambayo iliifuatia Diana Badala ya PANA, Sasa baada ya...

Barakah The Prince – Acha Niende (Official Music Video)

Baada ya kuridhika na mwenendo wa Nisamehe aliyofanya na "King Kiba" BarakahThePrince amewapa tena mashabiki wake kile kitu walikua wanamdai sio kingine bali ni wimbo mpya. "Acha Niende" unakua wimbo wa...

Angalia Hapa Video Mpya Ya Trey Songz “Animal”

Trey Songz bado anaendelea na mchongo wake wa kudondosha ngoma mpya kuanzia Februari 16 mwaka huu ambapo aliachia Nobody Else But You. Zoezi hili ni endelevu mpaka ifikapo Machi 24 mwaka...