Thursday, August 17, 2017
HABARI MBALI MBALI

HABARI MBALI MBALI

Maajabu: Simba Aonekana Akimnyonyesha Mtoto Wa Chui

Simba Nosikitok mwenye umri wa miaka mitano na ana watoto watatu waliozaliwa kati ya mwezi Juni 27-28 ameonekana Safari Loge kwenye Mbuga ya wanyama ya Ngorongoro akimnyonyesha mtoto wa chui. Joop Van Der...

Uchaguzi Kenya: Matokeo Kutangazwa Bungeni

Uchaguzi wa Kenya utafanyika tarehe nane mwezi Agosti mwaka huu ambapo Rais Uhuru Kenyatta atang'ang'ana kuhifadhi wadhifa wake dhidi ya mpinzani wake wa jadi Raila Odinga. Mahakama ya Rufaa imeamua matokeo rasmi...

MBUNGE HECHE ATAKA KINA KIKWETE WAHOJIWE JUU YA MIKATABA MIBOVU.

Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ameitaka Serikali kuwahoji marais wastaafu ili kufahamu ushiriki wao kwenye sakata la mikataba ya madini. Amesema kwa ripoti za kamati zilizoundwa na Rais John Magufuli,...

Jengo La Ghorofa Saba Laporomoka Nairobi, 15 Hawajulikani Walipo

Karibu watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Leo Jumanne Juni 13,2017, katika moja ya mitaa maarufu jijini Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu nchini Kenya,...

Tamasha La Vunja Bei Expo Laacha Historia Dar Es Salaam

Tamasha la #VunjaBeiExpo lililofanyika Juni 2-4 kwenye viwanja vya Posta (Sayansi)  Kijitonyama laacha historia bada ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam kujipatia bidhaa mbalimbali kwa bei sawa na bure,...

Video | LAVALAVA – TUACHANE

Audio ya wimbo huu ilitambulishwa mapema wiki hii, Hii hapa video ya wimbo "Tuachane" wa  Lava Lava aliyetangazwa kujiunga na WCB wasafi. Enjoy: https://youtu.be/BJ9FLAnEUg4

Busara Na Uchunguzi Zaidi Vitumike Kudhibiti Mauaji Mkoani Pwani

Ubalozi wa Kuwait nchini umeishauri Serikali kutumia busara zaidi katika kutatua na kudhibiti mauaji yanayoendelea mkoani Pwani na kufanyika kwa uchunguzi wa kina. Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu wa Kwanza wa...

Staa Wa Muvi Za James Bond Afariki Akiwa Na Umri Wa Miaka 89

Kwa mujibu wa taarifa ya familia ya marehemu iliyoandikwa katika mtandao wake wa Twitter, walisema ''ni vigumu kutangaza kifo cha baba yetu Roger Moore ambaye amefariki nchini Switzerland baada ya kuugua...

Music | LeoMySterio – Bonus (Audio & Video)

Leo Mysterio - BONUS (Official Video) https://www.youtube.com/watch?v=npptX-PJ_fI

Trump: Iran Haitapata Vibali Vya Kumiliki Nyuklia

Rais wa Marekani Donald Trump ameanza ziara yake nchini Israel kwa kuonya kuwa kuna tisho kutoka nchini Iran ikiwa itamiliki silaha za nuklia. "Iran haitaruhusiwa kamwe kumiliki silaha za nuklia," Trump aliwaambia...