Thursday, August 17, 2017

#NewMusic Nesher – Nitamwacha Vipi?

DOWNLOAD https://soundcloud.com/user-460948490/nesher-nitamwacha-vipi

Music | Katy Perry – Swish Swish (Audio) ft. Nicki Minaj

Baada ya kufanya poa na ngoma kama “Chained to the Rhythm” na “Bon Appétit" ambayo ndani kundi la Migos wamehusika Katy Perry anaendelea kuzidondosha ngoma baada ya ngoma ni wiki moja...

Joto Ya Dar Es Salaam Ft. Chekeda – Look At Me Dance (Official Music...

Joto Ya Dar Es Salaam na Chekeda wamerudi na hii inaitwa "Look At Me Dance" Angalia Video Kisha tuachiae maoni yako baadae tutaruka nazyo kwenye mitandao yetu ya kijamii. https://youtu.be/4XXcWPDdQgw

Zisikilize I Feel It Comming Na Mad Over You Za YemiSax (AfroJazz)

YemiSax amedondosha hizi mbali kutoka kwenye Albamu yake https://my.notjustok.com/track/download/id/213926 aliyoahidi kuiachia hivi karibuni. Mkali huyo wa masaxophone amewashangaza mashabiki wake baada ya kuiachia albamu hiyo yenye ngoma mbili tu ambazo ni "Mad...

Mash Jay – Mr. Masumbuko (Prod. VentSkillz)

Mash J - Mr Masumbuko Produced By VentSkillz At Kwanza Rec. Studio.   DOWNLOAD