Thursday, August 17, 2017

Taarifa kwa viongozi wa Matawi ya Simba kutoka kwa Raisi wa Simba

Rais wa klabu ya Simba Bwana Evans Aveva atakuwa na Mkutano na viongozi wa matawi ya klabu ya Simba siku ya Jumosi ya tarehe 3-12-2016 saa Nane mchana,kwenye ukumbi wa mikutano wa...

Rekodi za Zidane tangu arithi mikoba ya Rafael Benitez.

Katika mechi 33 za ligi tangu ameichukua klabu hiyo ya Real Madrid, akirithi mikoba ya Rafael Benitez tangu Januari mwaka huu, Zinedine Zidane amekuwa na rekodi ya aina yake. Rais wa klabu...

Ushindi umepatikana jana lakini Liverpool imepata pigo.

Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland. Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi huyo wa kibrazil akiwa chini huku wakiwa...

Yaliyowakuta Neymar, Messi yamemkuta pia Samuel Eto’o.

Baada ya mikasa na tuhuma za kukwepa kulipa kodi kuwaandama wachezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi na Neymar Jr, sasa yamemkuta mchezaji wa zamani wa timu hiyo, Samuel Eto’o. Supastaa huyo...

Andey Coutinho aliyekuwa anakipiga Yanga amepewa Unahodha.

Kama ulidhani aliyekuwa winga wa zamani wa Yanga, Andrey Coutinho, amepotea kwenye ramani ya soka, baada ya kutemwa na wanajangwani hao, utakuwa umekosea, kwani Mbrazil huyo anaendelea kung’ara huko aliko. Winga huyo...