Thursday, June 29, 2017

Arsenal kumkosa mchezaji Julian Draxler kwa nafasi nyingine

Mshambuliaji Julian Draxler ambaye alikuwa akifukuziwa na klabu ya Arsenal yupo njiani kujiunga na mabingwa wa Ufaransa PSG. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameshakubali mkataba wa miaka minne kukipiga PSG ingawa...

Timu ya Leicester yashinda tuzo hii Uingereza.

Klabu ya Leicester ambao ni mabigwa watetezi wa ligi kuu Uingereza imefanikiwa kushinda tuzo ya timu bora ya mwaka. The Foxes kama wanavyojiita ilishinda tuzo ya timu bora ya mwaka na mkufunzi...

Manchester United na Manchester City kukutana Marekani

Debi ya kwanza ya Manchester kuchezewa nje ya England huenda ikachezewa nchini Marekani majira yajayo ya joto. City chini ya Pep Guardiola na United chini ya Jose Mourinho, walipangiwa kukutana mjini Beijing,...

Baada ya mashabiki kumzomea Fellain, Phil Jones azungumza.

Wachezaji wa klabu ya Manchester United, wamekasirishwa sana kwa kitendo cha Marouane Fellaini kuzomewa uwanjani. Fellaine ni kiungo wa timu hiyo anayelaumiwa kwa kusababisha penati iliyosaidia klabu ya soka ya Everton...

Real Madrid imepunguziwa adhabu na mahakama ya usuluhishi ya michezo.

Klabu ya Real Madrid hatimaye imepunguziwa adhabu na mahakama ya usuluhishi ya michezo saivi wataweza kusajili wachezaji katika kipindi cha kiangazi mwaka 2017. Mwaka huu FIFA ilitangaza kuzipiga marufuku klabu za Real...

Timu ya soka ya Real Madrid imetwaa kombe la FIFA Club World Cup.

Klabu ya soka ya Real Madrid siku ya jumapili ya December 18, ilicheza dhidi ya Kashima Antlers ya Japani kwenye fainali ya FIFA Club World Cup. Real ilipata goli lake la kwanza...

Klabu ya Arsenal yakula kichapo kutoka kwa Everton.

Bao la kichwa la Ashley Williams dakika ya 86 liliiwezesha Everton kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Arsenal. Ushindi wa Everton umeizuia Arsenal kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu...

Kocha Jose Mourinho amemzawadia Fellaini ushindi dhidi ya Spurs.

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amempatia kiungo wa timu hiyo Marouane Fellaini ushindi walioupata jana 1-0 dhidi ya Tottenham. katika mchezo wa ligi kuu uingereza kutokana na kipindi kigumu anachopitia Kiungo huyo ambapo mchezaji...

Umri umesogea lakini jamaa bado wamo soka linachezwa safi.

Wahenga wanasema ‘ng’ombe hazeeki maini’. Ndiyo, pale Ligi Kuu England (EPL) kuna orodha ndefu ya mastaa wenye umri mkubwa lakini wameendelea kuwa kiwango cha juu. Wanapokuwa uwanjani, suala la umri wao mkubwa...

Taarifa kwa viongozi wa Matawi ya Simba kutoka kwa Raisi wa Simba

Rais wa klabu ya Simba Bwana Evans Aveva atakuwa na Mkutano na viongozi wa matawi ya klabu ya Simba siku ya Jumosi ya tarehe 3-12-2016 saa Nane mchana,kwenye ukumbi wa mikutano wa...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
25FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar