Tuesday, June 27, 2017

Tanzania Kuonyesha Nguvu Zaidi Kufuzu Fainali Kombe La Mataifa Ya Afrika

Tanzania inatakiwa kupambana na kuzishinda nchi za Cape Verde, Uganda na Lesotho katika kundi L ikiwa inataka kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Cameroon mwaka 2019. Katika droo...

Jose Mourinho: Memphis Depay ndiye anataka kuondoka Man United.

Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa Memphis Depay ndiye anataka kuondoka klabuni hapo. Mourinho amesema kuwa mchezaji huyo anataka kuondoka mwezi Januari lakini watamruhusu endapo watapokea ofa nzuri itakayowashawishi kufanya...

Mahrez aongeze juhudi na asipofanya hivyo atapoteza namba

Kocha wa klabu ya Leicester City, Claudio Ranieri ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza ametoa shutma kwa mchezaji Riyad Mahrez ambaye ni mshambuliaji wake. Kocha huyu amemtaka Mahrez aongeze...

Zlatan Ibrahimovic azitolea nje klabu za China.

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic pamekuwa na taarifa zinasema kuwa amezikatalia klabu za nchini China, hizi ni zile klabu ambazo zimekuwa na nia ya kumsajili akakipige kule kwao. Uongozi...

Shirikisho la soka TFF Yasema Mechi ya Simba na Yanga iko palepale

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema kuwa mechi ya ligi kuu Tanzania Bara ya mzunguko wa pili kati ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kuchezwa Februari 18 mwaka 2017 iko palepale...

Ratiba ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Disemba 30

  Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Disemba 30, 2016 katika uwanja wa Amaan saa 2:15 Usiku ambapo kutakuwa na mchezo wa Derby ya Jangombe kati...

Mshambuliaji wa zamani wa Inter Milan, Adriano alivyowaanga mashabiki na kupewa heshima ya kipekee.

Mshambuliaji wa zamani wa Inter Milan, Adriano ambaye alirejea tena San Siro usiku wa December 21 na kupewa heshima ya kuwaaga mashabiki wa klabu hiyo. Mashabiki ambao walikuwa wamejitokeza kwa wingi wakati...

Tanzania imepanda viwango vya FIFA huku Argentina ikiendelea kushika nafasi ya kwanza.

Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango hivyo vya soka vya FIFA. Tanzania imesogea kwa nafasi nne katika viwango...

Crystal Palace imemtimua kazi aliyekuwa kocha wake Allad Pardew

Klabu ya Crystal Palace ambayo inashriki ligi kuu ya Uingereza, hatimaye imemtimua kazi kocha wake Alan Pardew wakati ambapo klabu hiyo iko katika nafasi ya 17 katika ligi hiyo. Pardew ambaye aliteuliwa...

Arsenal kumkosa mchezaji Julian Draxler kwa nafasi nyingine

Mshambuliaji Julian Draxler ambaye alikuwa akifukuziwa na klabu ya Arsenal yupo njiani kujiunga na mabingwa wa Ufaransa PSG. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameshakubali mkataba wa miaka minne kukipiga PSG ingawa...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar