Thursday, August 17, 2017

Zlatan Ibrahimovic azitolea nje klabu za China.

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic pamekuwa na taarifa zinasema kuwa amezikatalia klabu za nchini China, hizi ni zile klabu ambazo zimekuwa na nia ya kumsajili akakipige kule kwao. Uongozi...

Arsenal kumkosa mchezaji Julian Draxler kwa nafasi nyingine

Mshambuliaji Julian Draxler ambaye alikuwa akifukuziwa na klabu ya Arsenal yupo njiani kujiunga na mabingwa wa Ufaransa PSG. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameshakubali mkataba wa miaka minne kukipiga PSG ingawa...

Rekodi za Zidane tangu arithi mikoba ya Rafael Benitez.

Katika mechi 33 za ligi tangu ameichukua klabu hiyo ya Real Madrid, akirithi mikoba ya Rafael Benitez tangu Januari mwaka huu, Zinedine Zidane amekuwa na rekodi ya aina yake. Rais wa klabu...

Tanzania imepanda viwango vya FIFA huku Argentina ikiendelea kushika nafasi ya kwanza.

Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango hivyo vya soka vya FIFA. Tanzania imesogea kwa nafasi nne katika viwango...

Ratiba ya michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Disemba 30

  Pazia la Mashindano ya Kombe la Mapinduzi linatarajiwa kuanza kutimua vumbi lake Disemba 30, 2016 katika uwanja wa Amaan saa 2:15 Usiku ambapo kutakuwa na mchezo wa Derby ya Jangombe kati...

Yaliyowakuta Neymar, Messi yamemkuta pia Samuel Eto’o.

Baada ya mikasa na tuhuma za kukwepa kulipa kodi kuwaandama wachezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi na Neymar Jr, sasa yamemkuta mchezaji wa zamani wa timu hiyo, Samuel Eto’o. Supastaa huyo...

Tanzania Kuonyesha Nguvu Zaidi Kufuzu Fainali Kombe La Mataifa Ya Afrika

Tanzania inatakiwa kupambana na kuzishinda nchi za Cape Verde, Uganda na Lesotho katika kundi L ikiwa inataka kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazofanyika Cameroon mwaka 2019. Katika droo...

Mourinho Kuwapumzisha Wachezaji Kabla Ya Mchezo Wa Jumapili

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa atawapumzisha wachezaji wake katika mechi ya siku ya Jumapili dhidi ya Arsenal. Ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya klabu ya Uhispania Celta...

NYOTA WA MCHEZO WA MIELEKA MAREKANI KUWANIA URAIS

Aliyekuwa nyota wa mchezo wa miereka Marekani Dwayne Johnson maarufu 'The Rock' anataka kuwania urais nchini humo. Katika mahojiano na jarida la GQ, nyota huyo wa uigizaji anasema kuwa amelifikiria sana wazo...

Chelsea Kileleni Mwa Ligi Kwa Pointi Tisa

Chelsea ililazimika kutoka sare dhidi ya timu ya Liverpool ilioimarika katika uwanja wa Anfield baada ya penalti ya Diego Costa kupanguliwa na kipa Simon Mignolet lakini bado wakaongeza uongozi wao katika...