Thursday, August 17, 2017

Arsene Wenger Akubali Kuitumikia Arsenal Kwa Miaka Miwili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo. Mfaransa huyo amekuwa meneja wa Arsenal kwa miaka 21 sasa. Wenger...

Klabu Ya Chelsea Yaahirisha Ziara Yake Manchester

Klabu ya soka ya Chelsea imefuta ziara ya kulitembeza kombe la EPL mjini Manchester baada ya shambulizi la siku ya Jumapili kwenye tamasha la mwanamuziki Ariana Grande. Klabu hiyo imesema kuwa haitakuwa...

Kikosi Kipya Cha Taifa Stars Chatajwa

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga leo amekitangaza rasmi kikosi chake chenye wachezaji 24 kwa ajili ya kuwania tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (COSOFA) dhidi...

Azania Kuiwakilisha Tanzania Mashindano Ya Standard Chartered

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameikabidhi bendera timu ya Azania ambayo inaelekea nchini Uingereza kushiriki mashindano ya Standard Chartered Safari kwenda Anfield. Akizungumza wakati wa hafla ya...

DKT.MABODI: VIONGOZI WA CCM KUFANYENI KAZI ZA KIJAMII

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. WANANCHI visiwani vya Zanzibar wameshauriwa kuendeleza kwa vitendo Utamaduni wa uzalendo wa kusaidiana wakati wa maafa mbali mbali yanayotokea nchini bila kujadili tofauti za...

NYOTA WA MCHEZO WA MIELEKA MAREKANI KUWANIA URAIS

Aliyekuwa nyota wa mchezo wa miereka Marekani Dwayne Johnson maarufu 'The Rock' anataka kuwania urais nchini humo. Katika mahojiano na jarida la GQ, nyota huyo wa uigizaji anasema kuwa amelifikiria sana wazo...

Mourinho Kuwapumzisha Wachezaji Kabla Ya Mchezo Wa Jumapili

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa atawapumzisha wachezaji wake katika mechi ya siku ya Jumapili dhidi ya Arsenal. Ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya klabu ya Uhispania Celta...

MWANARIADAHA MWENYE UMRI MIAKA 101 AMEVUNJA REKODI

Man Kaur, mwanariadha mwenye umri wa miaka 101 alishinda mbio za mita 100 wakati wa mbio za World Masters Games mjini Auckland, ambapo alisherehekea kwa kucheza densi kidogo. Bi Kaur alimaliza mbio...

7 WAUWA MECHI YA MAN U NIGERIA

Watu saba walifariki na wengine wengi kujeruhiwa baada ya kugongwa na nguvu za umeme wakitazama mechi kati ya Manchester United ya Uingereza na Anderlecht ya Ubelgiji nchini Nigeria. Mashabiki wa soka walikuwa...

Mourinho Amkingia Kifua Pogba

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema Kukosolewa kwa Paul Pogba kwa hivi majuzi ,kumechochewa na 'wivu' na wanaomlenga kiungo huyo wa kati kwa sababu wanahitaji fedha zozote ili wakidhi maisha...