Tuesday, June 27, 2017

Kikosi Kipya Cha Taifa Stars Chatajwa

Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Salum Mayanga leo amekitangaza rasmi kikosi chake chenye wachezaji 24 kwa ajili ya kuwania tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (COSOFA) dhidi...

Azania Kuiwakilisha Tanzania Mashindano Ya Standard Chartered

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe ameikabidhi bendera timu ya Azania ambayo inaelekea nchini Uingereza kushiriki mashindano ya Standard Chartered Safari kwenda Anfield. Akizungumza wakati wa hafla ya...

DKT.MABODI: VIONGOZI WA CCM KUFANYENI KAZI ZA KIJAMII

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR. WANANCHI visiwani vya Zanzibar wameshauriwa kuendeleza kwa vitendo Utamaduni wa uzalendo wa kusaidiana wakati wa maafa mbali mbali yanayotokea nchini bila kujadili tofauti za...

NYOTA WA MCHEZO WA MIELEKA MAREKANI KUWANIA URAIS

Aliyekuwa nyota wa mchezo wa miereka Marekani Dwayne Johnson maarufu 'The Rock' anataka kuwania urais nchini humo. Katika mahojiano na jarida la GQ, nyota huyo wa uigizaji anasema kuwa amelifikiria sana wazo...

Mourinho Kuwapumzisha Wachezaji Kabla Ya Mchezo Wa Jumapili

Kocha wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho anasema kuwa atawapumzisha wachezaji wake katika mechi ya siku ya Jumapili dhidi ya Arsenal. Ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya klabu ya Uhispania Celta...

MWANARIADAHA MWENYE UMRI MIAKA 101 AMEVUNJA REKODI

Man Kaur, mwanariadha mwenye umri wa miaka 101 alishinda mbio za mita 100 wakati wa mbio za World Masters Games mjini Auckland, ambapo alisherehekea kwa kucheza densi kidogo. Bi Kaur alimaliza mbio...

7 WAUWA MECHI YA MAN U NIGERIA

Watu saba walifariki na wengine wengi kujeruhiwa baada ya kugongwa na nguvu za umeme wakitazama mechi kati ya Manchester United ya Uingereza na Anderlecht ya Ubelgiji nchini Nigeria. Mashabiki wa soka walikuwa...

Mourinho Amkingia Kifua Pogba

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema Kukosolewa kwa Paul Pogba kwa hivi majuzi ,kumechochewa na 'wivu' na wanaomlenga kiungo huyo wa kati kwa sababu wanahitaji fedha zozote ili wakidhi maisha...

Wakati Ikisherehekea Faida Iliyopata Hii Hapa Adhabu Iliyopewa Kampuni Ya Facebook

Kampuni ya mtandao wa facebook imeripoti kuongezeka kwa faida katika ripoti yake ya robo ya kwanza ya mwaka 2016. Kampuni hiyo ilijipatia zaidi ya dola bilioni tatu na nusu ,na kupita makadirio...

Chelsea Kileleni Mwa Ligi Kwa Pointi Tisa

Chelsea ililazimika kutoka sare dhidi ya timu ya Liverpool ilioimarika katika uwanja wa Anfield baada ya penalti ya Diego Costa kupanguliwa na kipa Simon Mignolet lakini bado wakaongeza uongozi wao katika...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar