Thursday, August 17, 2017

Wafanyabiashara Zaidi Ya 2500 Kushiriki Sabasaba

Washiriki zaidi ya 2500 kutoka ndani na nje ya Afrika wamethibitisha kushiriki Maonesho ya 41 ya biashara ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba Julai 1 mwaka huu yanayotarajiwa kufunguliwa na Rais wa...

Serikali Yazikamata Mali Za Vigogo IPTL

Serikali  imekamata mali za wafanyabiashara Harbinder Singh Sethi na mwenzake James Rugemalira wanaohusishwa na uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 katika Akaunti ya Tegeta Escrow. Mali hizo zimekamatwa siku chache baada...

Hili Hapa Jiji Ghali Zaidi Duniani Linapatikana Afrika

Mji mkuu wa Angola, Luanda, umechukua nafasi ya kwanza kama mji ghali zaidi duniani kwa wataalamu na kuusukuma mji wa Hong Kong hadi nafasi ya pili. Hii imetokana na takwimu za gharama...

Wananchi Waipinga Kauli Ya Rais Magufuli Kuhusu Wanafunzi Wanaobeba Mimba

Kauli ya Rais wa Tanzania John Magufuli kwamba wasichana wanafunzi wanaopata ujauzito wasirudi shuleni imepingwa na baadhi ya wananchi na wanaharakati wakisema wasichana hawa wana haki ya kikatiba kuendelea na elimu. Jana...

NASA: Kuna Sayari Nyingine 10 Zenye Uhai

Wataalam wa maswala ya anga wametangaza ugunduzi wa sayari nyingine kumi angani ambazo huenda zinaweza kuwa na uhai. Wanasayansi wa shirika linaloshughulikia maswala ya angani NASA wanasema kuwa data mpya iliochunguzwa kutoka...

MWIGULU NCHEMBA AJENGA MABWENI YA WASICHANA KWA SEKONDARI 22 ZA SERIKALI JIMBONI KWAKE

Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ameanzisha Ujenzi wa hostel za kike 22 katika shule za sekondari 22 zilizopo katika...

Kenya: Shule Yafungwa Kufuatia Waalimu Kupigwa Na Wanafunzi

Shule moja nchini Kenya imefungwa baada ya wanafunzi kuwavamia na kuwapiga walimu, kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation la nchi hiyo. Gazeti hilo linasema kuwa wanafunzi hao walionekana wakiwa na rungu...

Mama Amuua Mtoto Wake Kwa Kumtupa Ziwani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Ahmed Msangi amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Nyamisi Bahati (27) anayedaiwa kumuua mtoto wake aitwaye Sakimu Hassani baada ya kumtupa ziwa Victoria na kupelekea mtoto...

MBUNGE HECHE ATAKA KINA KIKWETE WAHOJIWE JUU YA MIKATABA MIBOVU.

Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ameitaka Serikali kuwahoji marais wastaafu ili kufahamu ushiriki wao kwenye sakata la mikataba ya madini. Amesema kwa ripoti za kamati zilizoundwa na Rais John Magufuli,...

Jengo La Ghorofa Saba Laporomoka Nairobi, 15 Hawajulikani Walipo

Karibu watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Leo Jumanne Juni 13,2017, katika moja ya mitaa maarufu jijini Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu nchini Kenya,...