Tuesday, June 27, 2017

Rais Jacob Zuma Wa A.Kusini Atajwa Kwenye Skendo Nyingine Tena

Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma anachunguzwa tena baada ya kuvuja kwa idadi kubwa ya barua pepe, zinazodai kugundua mtandao wa rushwa kati yake na familia ya Guptas yenye ushawishi kibiashara. Nyaraka...

Ethiopia Yadaiwa Kuzima Huduma Ya Intaneti, Mitihani Chuo Kikuu Yatajwa Kuwa Chanzo

Serikali ya Ethiopia imezima mawasiliano yote ya huduma za mtandao wa Intaneti kwenye simu za mkononi bila kutoa sababu ya uamuzi huo. Mnamo mwaka jana, nchi hiyo iliripotiwa kubana mawasiliano ya mitandao...

Watanzania Wajeruhiwa Ajali Ya Basi Uganda

Watanzania 27 wajeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Falcon. Basi hilo lilianguka katika njia kuu ya Masaka. Majeruhi hao walikuwa njiani kuelekea Namugongo katika sherehe za siku ya Martyrs ambayo...

Upepo Mkali Kuyakumba Maeneo Ya Bahari Ya Hindi

Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari  kubwa kwa wakazi wa ukanda wa pwani kuwa kutakuwepo na upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo ya bahari ya Hindi. Aidha, katika Maeneo yanayotarajiwa...

Damu Ya Ng’ombe Inavyotumika Kama Chakula Cha Mifugo Dar Es Salaam

Kundi moja la kina mama mjini Dar es Salaam, wakiwemo wajane na waathrika wa Virusi vya Ukimwi, wameungana na kubuni njia ya kuvutia ya kupata riziki kupitia utengenezaji wa vyakula vya...

Mangu Awaomba Wananchi Kumuunga Mkono IGP Siro

Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amewataka wananchi kumpa ushirikiano IGP mpya, Simon Sirro katika kukabiliana na matukio ya uhalifu nchini hasa katika Mkoa wa Pwani.   Mangu aliyasema...

Burundi: Wasiofunga Ndoa Kukiona Cha Moto

Watu wanaoishi katika mahusiano ya mume na mke bila kufunga ndoa nchini Burundi wameamrishwa kwamba wawe wameoana rasmi ifikapo mwishoni mwa mwaka huu la sivyo wataaadhibiwa vikali. Msemaji wa Wizara ya mambo...

Mahakama Yawarudisha Wa-Ogiek Msituni Mau

Mahakama ya Afrika ya Haki za Kibinadamu mjini Arusha Tanzania imeamua kuwaruhusu watu wa kabila la Ogiek nchini Kenya - mojawapo ya makabila madogo sana ya Kiasili nchini humo kurudi katika...

Tanzania Na Uganda Zasaini Mkataba Wa Ujenzi Bomba La Mafuta

KAMPALA, UGANDA: Mkataba wa mradi wa Bomba la Mafuta kati ya Tanzania na Uganda(Intergovernmental Agreement - IGA) umesainiwa leo. Ujenzi wa bomba hilo la kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga nchini Tanzania...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar