Thursday, August 17, 2017

Wizara ya Elimu yakanusha taarifa ya wanafunzi wa Diploma kuzuiwa kujiunga vyuo vikuu.

Wizara  ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha...

Kampuni ya Vodacom Tanzania Yapeleka Maombi Ya Kujiunga Na Soko La Hisa (DSE)

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na   kujiunga kwenye   Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ikiwa ni utekelezaji wa sheria...

Serikali yampokonya Mhe.Sumaye shamba lake..

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amepokonywa na Serikali shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuliendeleza. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi amesema kuwa Serikali imefikia uamuzi...

Rais wa zamani wa Cuba Fidel Castro afariki dunia.

  Rais wa zamani wa Cuba na kiongozi wa mapinduzi ya kikomunisti, Fidel Castro amefariki akiwa na umri wa miaka 90, mdogo wake Raul ametangaza. Amefariki usiku wa saa nne na dakika...