Thursday, August 17, 2017

Tanzania imepanda viwango vya FIFA huku Argentina ikiendelea kushika nafasi ya kwanza.

Shirikisho la soka Duniani FIFA December 22 2016 limetoa orodha mpya ya viwango vya soka, Tanzania imefanikiwa kupanda katika viwango hivyo vya soka vya FIFA. Tanzania imesogea kwa nafasi nne katika viwango...

Wabunge wa Kenya wadaiwa kuchapana makonde Bungeni.

Wabunge wa upinzani nchini Kenya wametoka bungeni kwa hasira katika mji mkuu wa Nairobi, wakisema kuwa baadhi yao walinyanyaswa bungeni mapema asubuhi. Kikao hicho maalum ambacho vyombo vya habari havikuruhusiwa kuingia kilitarajiwa...

Aenda jela miaka 30 kwa hatia ya kubaka mtoto wa miaka tisa.

Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, Shabani Hussein (29) baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mtoto wa miaka tisa. Hussein amehukumiwa kifungo hicho baada ya mahakama...

Arsenal kumkosa mchezaji Julian Draxler kwa nafasi nyingine

Mshambuliaji Julian Draxler ambaye alikuwa akifukuziwa na klabu ya Arsenal yupo njiani kujiunga na mabingwa wa Ufaransa PSG. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani ameshakubali mkataba wa miaka minne kukipiga PSG ingawa...

Timu ya Leicester yashinda tuzo hii Uingereza.

Klabu ya Leicester ambao ni mabigwa watetezi wa ligi kuu Uingereza imefanikiwa kushinda tuzo ya timu bora ya mwaka. The Foxes kama wanavyojiita ilishinda tuzo ya timu bora ya mwaka na mkufunzi...

Manchester United na Manchester City kukutana Marekani

Debi ya kwanza ya Manchester kuchezewa nje ya England huenda ikachezewa nchini Marekani majira yajayo ya joto. City chini ya Pep Guardiola na United chini ya Jose Mourinho, walipangiwa kukutana mjini Beijing,...

Baada ya mashabiki kumzomea Fellain, Phil Jones azungumza.

Wachezaji wa klabu ya Manchester United, wamekasirishwa sana kwa kitendo cha Marouane Fellaini kuzomewa uwanjani. Fellaine ni kiungo wa timu hiyo anayelaumiwa kwa kusababisha penati iliyosaidia klabu ya soka ya Everton...

Real Madrid imepunguziwa adhabu na mahakama ya usuluhishi ya michezo.

Klabu ya Real Madrid hatimaye imepunguziwa adhabu na mahakama ya usuluhishi ya michezo saivi wataweza kusajili wachezaji katika kipindi cha kiangazi mwaka 2017. Mwaka huu FIFA ilitangaza kuzipiga marufuku klabu za Real...

Timu ya soka ya Real Madrid imetwaa kombe la FIFA Club World Cup.

Klabu ya soka ya Real Madrid siku ya jumapili ya December 18, ilicheza dhidi ya Kashima Antlers ya Japani kwenye fainali ya FIFA Club World Cup. Real ilipata goli lake la kwanza...

Klabu ya Arsenal yakula kichapo kutoka kwa Everton.

Bao la kichwa la Ashley Williams dakika ya 86 liliiwezesha Everton kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Arsenal. Ushindi wa Everton umeizuia Arsenal kukwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu...