Thursday, August 17, 2017

Wakandarasi Wazalendo Kupewa Kipaumbele Kwa Mikataba Hii

Serikali  imeahidi kuendelea kuwapa kipaumbele wakandarasi wazalendo katika utekelezaji wa miradi mikubwa lakini imewaonya wale ambao wamekuwa wakitekeleza miradi chini ya viwango vilivyowekwa kwenye mikataba. Hayo yalisemwa jana mjini Dodoma na Makamu...

Maagizo Aliyoyatoa Rais Magufuli Baada ya Kufanya Ziara ya Kushtukiza Katika Gereza la Ukonga

  Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Jumanne  tarehe 29 Novemba , 2016  amefanya ziara ya kushtukiza katika Gereza la Ukonga jijini Dar Es...

Kivuko Cha MV Kazi Chafanyiwa Majaribio Kwa Mara Ya Kwanza

Hatimaye kivuko kipya cha MV KAZI kimefanyiwa majaribio ya kubeba abiria na magari  kwa mara ya kwanza Jijini Dar es Salaam baada ya kukamilika kwa matengenezo yake. Majaribio hayo yalifanyika kulingana na...

Aliyemuua Rais Wa Zamani Congo Atoroka Gerezani

Idadi ya wafungwa wasiojulikana wameuawa kwa kupigwa risasi  Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mapema leo baada ya jaribio la kutoroka gerezani mjini Kinshasa. Waziri wa sheria nchini humo, Alexis Thambwe Mwamba amesema...

Zlatan Ibrahimovic azitolea nje klabu za China.

Mchezaji wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic pamekuwa na taarifa zinasema kuwa amezikatalia klabu za nchini China, hizi ni zile klabu ambazo zimekuwa na nia ya kumsajili akakipige kule kwao. Uongozi...

Mwanamuziki Ajitosa Baharini Kukwepa Bili Ya Chakula

Mwanamume mmoja raia wa Australia ambaye alikuwa na bili kubwa ya kulipa baada ya kupata mlo kwenye mgahawa mmoja aliruka na kuingia baharini ili kukwepa kulipa bili hiyo. Polisi walimfuata kwa kasi...

Manchester United na Manchester City kukutana Marekani

Debi ya kwanza ya Manchester kuchezewa nje ya England huenda ikachezewa nchini Marekani majira yajayo ya joto. City chini ya Pep Guardiola na United chini ya Jose Mourinho, walipangiwa kukutana mjini Beijing,...

Watmiaji Wa WhatsApp Waonywa Kenya

MKUU wa Tume ya Mshikamano na Uadilifu nchini Kenya (NCIC), Francis Ole Kaparo, ametoa onyo kwamba watu wanayaotumia makundi ya mtandao wa WhatsApp wawe makini katika kusambaza habari wanazoandika hususan sasa...