Thursday, August 17, 2017

Barua ya Kuomba Kujiuzulu Profesa Sospeter Muhongo Kwenda Kwa Rais Magufuli

Jana baada ya kupokea taarifa ya kamati maalum aliyoiunda kuchunguza mchanga wa madini uliokuwa katika makontena zaidi ya 200 aliyoyazuia yasisafirishwe, Rais Magufuli alimshauri Prof. Muhongo Kujiuzulu nafasi yake ya Waziri...

Ndege Za Kivita Za Marekani Zaonekana Korea

Maafisa wa Korea Kusini wamesema ndege mbili za Marekani za kuangusha mabomu zimepaa juu ya anga la rasi ya Korea. Ndege hizo za kivita zilipaa angani kama sehemu ya juhudi za kuzuia...

Rais Magufuli Alaani Mauaji Ya Askari Wanane Pwani

Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na kushutumu mauaji ya polisi wanane wa taifa hilo waliouawa na watu wasiojulikana jioni siku ya Alhamisi. taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari...

Kafulila Atoa Ya Moyoni Baada Ya Prof. Muhongo Kutumbuliwa

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu David Kafulila ameibuka na kutoa ya moyoni baada ya maamuzi yaliyofanywa na Rais Magufuli baada ya kupokea ripoti ya...

Korea Kaskazini Na Marekani Zatambiana Kutumia Silaha Kali

Korea Kaskazini imesema kuwa itajitetea kwa kutumia silaha kali ili kujibu hatua ya Marekani kupeleka wanamaji wake katika rasi ya Korea. Wizara ya mambo ya Nje ilinukuu shirika la habari la serikali...

Agongwa Na Treni Hadi Kufa Wakati Akipigwa Picha

Fredzania Thompson msichana wa miak 19 19, ambaye alikuwa anaanza kujikuza kama mwanamitindo, aligongwa na treni na kufariki alipokuwa anapigwa picha. Fredzania Thompson alikuwa anapigwa picha hizo zake za mitindo, ambazo zilikuwa...

Mangu Awaomba Wananchi Kumuunga Mkono IGP Siro

Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu amewataka wananchi kumpa ushirikiano IGP mpya, Simon Sirro katika kukabiliana na matukio ya uhalifu nchini hasa katika Mkoa wa Pwani.   Mangu aliyasema...

RAIS MAGUFULI AVUNJA MAMLAKA YA CDA

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu Dodoma (CDA) na kuagiza mali na shughuli zote zilizokuwa zikifanywa na CDA zihamishiwe Halmashauri ya Manispaa ya...

Chukua Hii Ya Ndege Ya Wanawake Iliyotua Dar Es Salaam Leo

Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines, limefanikiwa kukamilisha safari ya ndege iliyosimamiwa na wanawake pekee. Ndege hiyo imetua katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere mjini Dar es Salaam. Marubani na wasaidizi wa...

NAPE :NAWAOMBA WANANCHI MUUNGENI MKONO WAZIRI WA HABARI MPYA

Rais John Magufulli amemteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Nape Nnauye. Nafasi ya Mwakyembe inajazwa na...