Tuesday, June 27, 2017

MWIGULU NCHEMBA AJENGA MABWENI YA WASICHANA KWA SEKONDARI 22 ZA SERIKALI JIMBONI KWAKE

Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi ambaye ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mwigulu Nchemba ameanzisha Ujenzi wa hostel za kike 22 katika shule za sekondari 22 zilizopo katika...

Kenya: Shule Yafungwa Kufuatia Waalimu Kupigwa Na Wanafunzi

Shule moja nchini Kenya imefungwa baada ya wanafunzi kuwavamia na kuwapiga walimu, kwa mujibu wa gazeti la Daily Nation la nchi hiyo. Gazeti hilo linasema kuwa wanafunzi hao walionekana wakiwa na rungu...

Mama Amuua Mtoto Wake Kwa Kumtupa Ziwani

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza DCP Ahmed Msangi amemtaja mtuhumiwa huyo kuwa ni Nyamisi Bahati (27) anayedaiwa kumuua mtoto wake aitwaye Sakimu Hassani baada ya kumtupa ziwa Victoria na kupelekea mtoto...

MBUNGE HECHE ATAKA KINA KIKWETE WAHOJIWE JUU YA MIKATABA MIBOVU.

Dodoma. Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche ameitaka Serikali kuwahoji marais wastaafu ili kufahamu ushiriki wao kwenye sakata la mikataba ya madini. Amesema kwa ripoti za kamati zilizoundwa na Rais John Magufuli,...

Jengo La Ghorofa Saba Laporomoka Nairobi, 15 Hawajulikani Walipo

Karibu watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Leo Jumanne Juni 13,2017, katika moja ya mitaa maarufu jijini Nairobi. Shirika la msalaba mwekundu nchini Kenya,...

Ripoti ya Pili ya Mchanga wa Madini Yamfikia Rais Magufuli

Ripoti ya Pili ya Mchanga wa Madini imemfikia Rais John Pombe Magufuli. https://www.youtube.com/watch?v=-htIDWMFD8c

Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano na Vyuo Vya Ufundi 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2017 huku jumla ya...

Orodha Ya Vyuo Vikuu Bora Zaidi Duniani Kwa Mwaka 2017

Orodha mpya ya kila mwaka ya vyuo vikuu bora zaidi duniani imetangazwa, ambapo chuo kikuu cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) cha Marekani bado kinaongoza. Vyuo vikuu vya Stanford na Harvard -...

Panya Wageuka Tishio, Raia Kulipwa Kila Watakapowauwa

Maelfu ya panya wamevamia vijiji kadhaa katika manispaa ya mji wa Nga Pu Taw, kusini magharibi mwa jimbo la Ayeyarwady nchini Mynmar. Vyombo vya habari nchini humo, vinasema kuwa vyakula na mimea...

Alichokisema Rais Magufuli Wakati Wa Kumuapisha Mama Anna Mghwira

Rais Dkt. John Magufuli amemuapisha aliyekuwa mgombea urais mwaka 2015 Bi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na kusema anaweza kuitekeleza kazi hiyo. Bi Anna Elisha Mghwira amejaza nafasi...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
24FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar