Thursday, August 17, 2017

Umri Wa Rais Museveni Wa Uganda Umebadilishwa Utamruhusu Kugombea Tena Uchaguzi Ujao

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na mijadala hasa katika mitandao ya kijamii nchini Uganda kuhusu umri halisi wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Kaguta Museveni. Kwa mara kadhaa serikali ya Uganda imekuwa...

#ElectionsKE2017: Kinachoendelea Muda Huu Kwenye Vituo Vya Kupigia Kura Nchini Kenya

Macho na msikio ya wafuatiliaji wa siasa ulimwenguni kote kwa kiasi kikubwa yatakua yameelekezwa nchini Kenya ambako unafanyika wa Viongozi wa Serikali Kuu. Vyombo Mbalimbali Vya Habari Vimeangazia Uchaguzi huo ambao unatarajiwa...

Serikali Itafanya Juhudi Zake Kuwasaidia Wananchi Lakini Sio Vya Bure – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kuwaonya Watanzania wenye tabia ya uvivu na kupenda kubweteka bila kujituma, huku akisema wakati wa utawala wake hakutakuwa na...

Maelezo ya Waziri wa Viwanda Charles Mwijage Baada Rais Magufuli Kutamka Hadharani kwamba Haridhiki...

Jana (August 6, 2017) Rais Magufuli  alitoa kauli ya kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji dhidi ya watu waliouziwa viwanda na kuvitelekeza ambapo alimtaka Waziri Mwijage...

Picha : Rais Magufuli Alivyoongoza Uzinduzi Wa Kituo Cha Mabasi Korogwe

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi cha Korogwe mjini mkoani Tanga.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

Wanasheria Korea Wanataka Boss Wa Samsung Afungwe Miaka 12 Jela

Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wanataka Mwenyekiti Msaidizi wa kampuni ya Samsung Lee Jae-yong kupewa kifungo cha miaka 12 jela. Bwana Lee anakabiliwa na mashtaka kufuatia hali inayotajwa kuwa ni Ufisadi, iliyosababisha...

CUF: Maalim Seif Ataendelea Kutimiza Majukumu Yake Mpaka Tone La Damu La Mwisho

Chama cha CUF kimedai kuwa, licha ya uwepo wa hujuma zinazofanywa na baadhi ya watu ili kumuondoa madarakani Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad, katibu huyo ataendelea kubaki...

Mawaziri wa Korea Kaskazini na Kusini wafanya Mkutano Manila

Korea Kaskazinia imeiambia BBC kuwa waziri wake wa mambo ya nchi za kigeni alizungumza na mwenzake wa Korea Kaskazini siku ya Jumapili katika mkutano usio wa kawaida wa uso kwa uso. Mkutano...

Kwanini Jaji Werema Alimuita Kafulila Tumbili?

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema amezungumzia kauli yake ya mwaka 2014 ya kumuita ‘tumbili’ aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila wakati wa mjadala wa Escrow bungeni, ambapo...