Thursday, August 17, 2017

Ludacris Na T-Pain Waishambulia Birthday Ya Chance The Rapper

Jumapili iliyopita yaani April 16 mwanamuziki Mmarekani Chance The Rapper alisherehekea siku yake ya kuzaliwa, Sherehe hizo za miaka 24 ya kuzaliwa rapa huyo zilifanyika "Studio Paris NightClub" pande za Chicago...

Dayna Nyange Ft Billnass – Komela (Official Music Video)

Dayna Nyange na Billnass wameamua kuianzisha wikiend yao kwa kuachia video ya wimbo wa Komela, audio ya wimbo huu imefanywa na Mr T  Touch kipindi hicho akiwa studio ya Freenation Sound. Video...

New Music: Sosy – Mfupa.

Msanii Mpya kutoka kampuni ya Bangerz Entertainment, anaitwa Sosy ameachia wimbo unaitwa “Mfupa”, Producer Aby Dady.

Music: Queen Darleen Ft Rayvanny – Kijuso

Wasafi Classic wametambulisha wimbo mpya wa msanii wao wakike Queen Darleen unaitwa Kijuso, amemshirikisha Rayvanny, Producer Lizer Classic,

New Video: Good luck Gozbert – Ndiwe Mungu

Msanii wa Gospel Goodluck Gozbert ameachia video mpya ya wimbo unaitwa “Ndiwe Mungu”, angalia hapa chini.  

Mrembo Stephanie Del Valle kutoka Puerto Rico ndiye Miss World 2016Picha: Stephanie Del Valle...

Mrembo wa Puerto Rico, Stephanie Del Valle ameibuka mshindi wa shindano la Miss World 2016. Shindano hilo limefanyika Jumapili jijini Washington DC, Marekani. Mrembo huyo ana umri wa miaka 19 na amewashinda warembo...

New Video: Belle 9 ft G-Nako – GIVE IT TO ME

Muimbaji wa muziki kutoka Vitamin Music Group Limited, Belle 9 Jumamosi hii amefanya uzinduzi wa video yake mpya ya wimbo ‘GIVE IT TO ME’ akiwa amemshirikisha G-Nako. Angalia Video hapa:  

Navy Kenzo – Feel Good Ft. Wildad -Official Music Video

Kundi la muziki kutoka nchini Tanzania, Navy Kenzo linaloundwa na wasanii wawili Aika na NahReel jana Novemba 29 wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Feel Good. Itazame...

Kollabo ya Diamond na PSquare imempa tuzo kutoka Nigeria.

Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya African Entertainment Legend Awards (AELA), za nchini Nigeria kwenye kipengele cha Best Collaboration (Africa) kutokana na wimbo wake Kidogo aliowashirikisha, P-Square. Tuzo hizo zimetolewa Jumapili hii jijini...