Thursday, August 17, 2017

New Video: Dj Maphorisa & Wizkid -Good Love.

  Dj Maphorisa na Wizkid wameungana tena kwenye wimbo wa pamoja, Good Love. Umetayarishwa na Nana Rouges huku video ikiongozwa na Sesan Film Factory. Tazama Video hapa chini.  

New Video: M-Rap f/ Mayunga – It’s Not Too Late

  Akiwa chini ya uongozi mpya wa Mukii International, M-Rap ameachia kazi yake mpya iitwayo ‘It’s Not Too Late’ aliyomshirikisha Mayunga. Wimbo umetayarishwa na Bob Manecky wa AM Records huku video ikiongozwa...