Thursday, August 17, 2017

Lulu Aweka Wazi Mipango Ya Ndoa Na Majizo

BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, staa wa filamu mwenye vituko vingi, Elizabeth Michael ‘Lulu’, ameibuka na kuweka wazi kwamba yupo mbioni kukamilisha maandalizi ya ndoa yake na mmiliki wa...

Kama Unamkubali Kendrick Lamar Hii Inakuhusu

Moja ya swali lililoulizwa sana kuhus Kendrick Lamar kwa mwaka huu ni kuhusu ujio wa albamu yake ambayo imekua ikiongelewa mara kibao kwenye vyombo mbalimbali, Kiu na matamanio ya mashabiki wa...

Hii Hapa Sanamu Ya Tupac Itakayogharimu Mabilioni

Mashabiki wa Tupac wanatarajia kuwa na sehemu mpya kwa ajili ya kumuenzi mkali huyo wa miondoko ya Hip Hop mara baada ya sanamu yake inayojengwa pande za Georgia ripoti ya TMZ...

2 Chainz – Kolabo Yangu Mpya Na Nicki Minaj Ni Tatizo

Rapa mmarekani 2chainz ameutumia ukurasa wake wa Instagram kuuvunja ukimya kwa kuziongelea tetesi zinazoendelea kusambaa kuhusu Albamu yake ya nne "PrettyGirlsLikeTrapMusic". https://www.instagram.com/p/BSKCPhYDFsn/?taken-by=hairweavekiller&hl=en 2 Chainz amethibitisha kufanya ngoma pamoja na Nicki Minaj ambayo huenda...

Kingine Kutoka Kwa Harmorapa Kuhusu Diamond Platnumz Na Alikiba

Jana kwenye kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV mwanamuziki Diamond Platnumz alipata fursa ya kufanya mahojiano ya moja kwa moja na watangazaji wa kipindi hicho.. Miongoni mwa vitu Diamond aliongea ni...

Dayna Nyange Ft Billnass – Komela (Official Music Video)

Dayna Nyange na Billnass wameamua kuianzisha wikiend yao kwa kuachia video ya wimbo wa Komela, audio ya wimbo huu imefanywa na Mr T  Touch kipindi hicho akiwa studio ya Freenation Sound. Video...

New Music: Sosy – Mfupa.

Msanii Mpya kutoka kampuni ya Bangerz Entertainment, anaitwa Sosy ameachia wimbo unaitwa “Mfupa”, Producer Aby Dady.