Thursday, August 17, 2017

Kutana Na Mike Sonko, Mwanasiasa Asiyeishiwa Vituko Mitandaoni

Mike Sonko ni mwanasiasa nchini Kenya lakini pia govoner wa jiji la Nairobi huyu jamaa amekuwa akijua sana kutengeneza trend kwenye mitandao ya kijamii na juzi kati tu hapa alimzawadia mkewe...

Usichokijua Kuhusu Alikiba Na Ed Sheeran

Kuna moment Fulani za mwanzo kwenye maisha ambazo huenda hupendi kabisa kuziona au kuzisikia especialy kwenye kazi ya Sanaa,ukijingalinisha na ulivyo sasa,na miongoni mwa watu hao ni pamoja Alikiba ambaye huwa...

Diddy Na Jay-Z Waipamba Orodha Ya WanaHipHop Wenye Mkwanaj Mrefu

Utajiri wa mwanamuziki Jay Z ulipanda kwa asilimia 30 mwaka jana na kufikisha utajiri wake hadi $810m (£626m), kwa mujibu wa jarida la Forbes. Lakini kuimarika kwa utajiri wake hakukutosha kumuondoa Sean...

T.I “Nimepanga Kufanya Vitu 3 Kabla Sijaweka MIC Chini”

Tangu mwaka 2012 Mwanamuziki T.I amekua akiongelea kuhusu kuachana na muziki wa Rap Kwa mujibu wa AllhiphopNews inaonekana T.I yupo kuupiga chini muziki wa Rap. Mapema mwaka huu kwenye moja ya mahojiano...

Nicki Minaj Kuwalipia Ada Mashabiki Zake

Mwanamuziki Nicki Minaj ameahidi kulipia karo baadhi ya mashabiki wake. Hata hivyo amesema ni lazima wathibitishe kwamba walipata alama A katika mtihani wao wa kujiunga na vyuo. Alikuwa akijibu maombi kutoka kwa mashabiki...

Ujumbe Maalum Kwa Mashabiki Wa Janet Jackson

Hatimaye muimbaji Janeth Jackson ameweka wazi kilichokua kikimsubirisha kwa mujibu wa video iliyoonekana kwenye tovuti yake. Janet (51) ameonekana kwenye video hiyo akiwaambia mashabiki wake kuhusu tetesi za yeye kutengana na mume...

Lil Wayne Afungukia Tetesi Za “The Carter V” Na Ukaribu Wake Na RocNation

Kama Ni Shabiki Wa Lil Wayne na ulishaanza Ku-Miss michano yake unashauriwa kuwa karibu tena na FavoriteRaper wako kwa kipindi hiki Kwani muda wowote kutoka hivi sasa anaweza kuliamsha Dude. Kwenye mahojiano...

Ludacris Na T-Pain Waishambulia Birthday Ya Chance The Rapper

Jumapili iliyopita yaani April 16 mwanamuziki Mmarekani Chance The Rapper alisherehekea siku yake ya kuzaliwa, Sherehe hizo za miaka 24 ya kuzaliwa rapa huyo zilifanyika "Studio Paris NightClub" pande za Chicago...

STELLA MWANGI’S SINGLE “WORK” RANKED ON ITALY’S TOP 100 RADIO CHARTS.

​Kenyan – Norwegian artiste Stella Mwangi is once again breaking new ground – this time in Italy! The fifth single off her super successful self-titled EP WORK is currently ranked at number 18...

Download Video: Avril – Uko

All the way from 254 mrembo Avril amedondosha video ya wimbo wake mpya "Uko" Enjoy na video yake hapa thentuambie unaionaje.. https://www.youtube.com/watch?v=eclfWEX8JrE&feature=youtu.be DOWNLOAD HAPA: