Thursday, June 29, 2017

Hii Hapa Sanamu Ya Tupac Itakayogharimu Mabilioni

Mashabiki wa Tupac wanatarajia kuwa na sehemu mpya kwa ajili ya kumuenzi mkali huyo wa miondoko ya Hip Hop mara baada ya sanamu yake inayojengwa pande za Georgia ripoti ya TMZ...

Diddy Na Jay-Z Waipamba Orodha Ya WanaHipHop Wenye Mkwanaj Mrefu

Utajiri wa mwanamuziki Jay Z ulipanda kwa asilimia 30 mwaka jana na kufikisha utajiri wake hadi $810m (£626m), kwa mujibu wa jarida la Forbes. Lakini kuimarika kwa utajiri wake hakukutosha kumuondoa Sean...

Upo Dar Es Salaam,Unapenda #Shopping Za Bei Rahisi?, Imiliki Wikiendi Hii Na #VunjaBeiExpo

Wikiendi Hii Itaenda Kuwa Poa Sana Kwa Wakazi Wa Jiji La Dar Es Salaam Na Vitongoji Vyake Kwani Ule Mpango Wa Bidhaa Kuuzwa Kwa Bei Nafuu Zaidi Umewadia Tena. Unaambiwa zile #Shopping...

Lil Wayne Afungukia Tetesi Za “The Carter V” Na Ukaribu Wake Na RocNation

Kama Ni Shabiki Wa Lil Wayne na ulishaanza Ku-Miss michano yake unashauriwa kuwa karibu tena na FavoriteRaper wako kwa kipindi hiki Kwani muda wowote kutoka hivi sasa anaweza kuliamsha Dude. Kwenye mahojiano...

T.I “Nimepanga Kufanya Vitu 3 Kabla Sijaweka MIC Chini”

Tangu mwaka 2012 Mwanamuziki T.I amekua akiongelea kuhusu kuachana na muziki wa Rap Kwa mujibu wa AllhiphopNews inaonekana T.I yupo kuupiga chini muziki wa Rap. Mapema mwaka huu kwenye moja ya mahojiano...

Navy Kenzo – Feel Good Ft. Wildad -Official Music Video

Kundi la muziki kutoka nchini Tanzania, Navy Kenzo linaloundwa na wasanii wawili Aika na NahReel jana Novemba 29 wameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la Feel Good. Itazame...

Ujumbe Maalum Kwa Mashabiki Wa Janet Jackson

Hatimaye muimbaji Janeth Jackson ameweka wazi kilichokua kikimsubirisha kwa mujibu wa video iliyoonekana kwenye tovuti yake. Janet (51) ameonekana kwenye video hiyo akiwaambia mashabiki wake kuhusu tetesi za yeye kutengana na mume...

Usichokijua Kuhusu Alikiba Na Ed Sheeran

Kuna moment Fulani za mwanzo kwenye maisha ambazo huenda hupendi kabisa kuziona au kuzisikia especialy kwenye kazi ya Sanaa,ukijingalinisha na ulivyo sasa,na miongoni mwa watu hao ni pamoja Alikiba ambaye huwa...

SIKILIZA CLOUDS FM HAPA:

Bonyeza Hapa

STAY CONNECTED

0FollowersFollow
0FollowersFollow
25FollowersFollow
0LikesLike
109SubscribersSubscribe
Skip to toolbar