Thursday, August 17, 2017

Upo Dar Es Salaam,Unapenda #Shopping Za Bei Rahisi?, Imiliki Wikiendi Hii Na #VunjaBeiExpo

Wikiendi Hii Itaenda Kuwa Poa Sana Kwa Wakazi Wa Jiji La Dar Es Salaam Na Vitongoji Vyake Kwani Ule Mpango Wa Bidhaa Kuuzwa Kwa Bei Nafuu Zaidi Umewadia Tena. Unaambiwa zile #Shopping...

Mwanamuziki Wa Marekani Anaetuhumiwa Kuiba Wimbo Wa Phyno

Muziki wa Afrika umekua mkubwa ni wazi umefanikiwa kutoboa anga na kupenya level za mbali, Naam hivyo ndivyo naweza kusema baada ya kukutana na hii stori ya mwanamuziki Phyno na timu...

“Show Me” Ya Harmonize Na Rich Mavoko Wimbo Wa Afrika Mashariki

Huenda ni kitu ambacho hakikuwa kwenye mawazo yao wakati wa uandaji wa wimbo "Show Me",habari njema zaidi kwa Harmonize na Rich Mavoko ni hii taarifa iliyotolewa na kituo cha Redio Citizen...

Big Jah Man Kuhusu Albamu Yake, Kifo Cha Steve 2K Na Utamaduni Wa BongoFleva

Mwanamuziki Big JahMan amevunja ukimya na kuweka wazi kile kinachotajwa kutokua na Albamu mpaka sasa licha ya kuwepo kwenye game ya Bongoflava kwa muda mrefu. Akipiga stori na SEETHEAFRICAN TV Big JahMan...

Kate Perry Anachofikiria Kuhusu Bifu Yake Na Taylor Swift

Mwanamuziki Katy Perry anasema kuwa anataka kumaliza kile kinachotajwa beef kati yake na mwanamuziki mwenzake Taylor Shift. Tetesi za kuwepo kwa beef hiyo zimekuwepo kwa kipindi kirefu kati ya wanamuziki hao wawili...

Jennifer Lopez Yupo Tayari Na Albamu Ya Kireno, Marc Anthony Kahusika

Jennifer Lopez amewapa mashabiki wake kionjo cha wimbo wake mpya, Muimbaji huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram wenye zaidi ya mashabiki milioni 65 amepost kipande cha video kinachomuonyesha akiimba wimbo "A...

Nyumba Ya Mamilioni Ambayo The Weekend Kanunua Kwa Ajili Yake Na Selena Gomez

Mapenzi mubashara ndio lugha rahisi unayoweza kuitumia hapa, Tangu kuwekwa wazi kwa mahusiano yao wanamuziki Selena Gomez nampenzi wake The Weekend wamezidi kuonyesha hakuna wanachohofia, Kama ni mfuatiliaji mzuri wa stori...

Nay Wa Mitego Kamjibu Waziri Mwakyembe Kuhusu Wanamuziki Na Siasa

Rapa Nay wa Mitego amefunguka na kumtaka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kutoa ufafanuzi juu ya kauli yake aliyotoa kuwa wasanii wasijihusishe na masuala ya siasa. Nay...

Historia Aliyoitengeneza Starboy Wizkid Ayo Usiku Wa Jana

Tuzo za muziki za Billboard kwa mwaka huu 2017 zimefanyika usiku wa jana May 21,2017 kwenye ukumbi wa T-Mobile Arena mjini Las Vegas, Moja kati ya kilichoonekana kuwa kivutio zaidi kwa Nigeria...

Couple 10 Za Mastaa Wanaomiliki Mkwanja Wa Maana, Cheki Hapa Ujue Nani Anaongoza

Jay Z na Beyonce wanatajwa kuwa Couple yenye ushawishi mkubwa na hilo halina ubishi, Huku wakiendelea kushikilia rekodi hiyo wakali hao wa ngoma kama Drunk In Love wametengeneza historia nyingine kwenye...