Rais Jacob Zuma Wa A.Kusini Atajwa Kwenye Skendo Nyingine Tena

Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma anachunguzwa tena baada ya kuvuja kwa idadi kubwa ya barua pepe, zinazodai kugundua mtandao wa rushwa kati yake...

Ethiopia Yadaiwa Kuzima Huduma Ya Intaneti, Mitihani Chuo Kikuu Yatajwa Kuwa Chanzo

Serikali ya Ethiopia imezima mawasiliano yote ya huduma za mtandao wa Intaneti kwenye simu za mkononi bila kutoa sababu ya uamuzi huo. Mnamo mwaka jana,...

Upo Dar Es Salaam,Unapenda #Shopping Za Bei Rahisi?, Imiliki Wikiendi Hii Na #VunjaBeiExpo

Wikiendi Hii Itaenda Kuwa Poa Sana Kwa Wakazi Wa Jiji La Dar Es Salaam Na Vitongoji Vyake Kwani Ule Mpango Wa Bidhaa Kuuzwa Kwa...

Arsene Wenger Akubali Kuitumikia Arsenal Kwa Miaka Miwili

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, hatua itakayoendeleza muda ambao amekaa katika klabu hiyo. Mfaransa huyo amekuwa...

Watanzania Wajeruhiwa Ajali Ya Basi Uganda

Watanzania 27 wajeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Falcon. Basi hilo lilianguka katika njia kuu ya Masaka. Majeruhi hao walikuwa njiani kuelekea Namugongo...

Mwanamuziki Wa Marekani Anaetuhumiwa Kuiba Wimbo Wa Phyno

Muziki wa Afrika umekua mkubwa ni wazi umefanikiwa kutoboa anga na kupenya level za mbali, Naam hivyo ndivyo naweza kusema baada ya kukutana na...

Upepo Mkali Kuyakumba Maeneo Ya Bahari Ya Hindi

Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari  kubwa kwa wakazi wa ukanda wa pwani kuwa kutakuwepo na upepo mkali na mawimbi makubwa katika maeneo...

“Show Me” Ya Harmonize Na Rich Mavoko Wimbo Wa Afrika Mashariki

Huenda ni kitu ambacho hakikuwa kwenye mawazo yao wakati wa uandaji wa wimbo "Show Me",habari njema zaidi kwa Harmonize na Rich Mavoko ni hii...

Damu Ya Ng’ombe Inavyotumika Kama Chakula Cha Mifugo Dar Es Salaam

Kundi moja la kina mama mjini Dar es Salaam, wakiwemo wajane na waathrika wa Virusi vya Ukimwi, wameungana na kubuni njia ya kuvutia ya...