Uchaguzi wa urais Somalia waahirishwa tena

Uchaguzi wa urais nchini Somalia, ambao ulikuwa umeahirishwa kwa mara mbili awali, umeahirishwa tena kwa muda usiojulikana. Mwenyekiti wa bodi ya uchaguzi nchini humo Omar...

Wizara ya Elimu yakanusha taarifa ya wanafunzi wa Diploma kuzuiwa kujiunga vyuo vikuu.

Wizara  ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala...


wp booster error:
td_api_base::mark_used_on_page : a component with the ID: thumbnail is not set.

Kollabo ya Diamond na PSquare imempa tuzo kutoka Nigeria.

Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya African Entertainment Legend Awards (AELA), za nchini Nigeria kwenye kipengele cha Best Collaboration (Africa) kutokana na wimbo wake Kidogo...

New Video: Dj Maphorisa & Wizkid -Good Love.

  Dj Maphorisa na Wizkid wameungana tena kwenye wimbo wa pamoja, Good Love. Umetayarishwa na Nana Rouges huku video ikiongozwa na Sesan Film Factory. Tazama Video...

Kampuni ya Vodacom Tanzania Yapeleka Maombi Ya Kujiunga Na Soko La Hisa (DSE)

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza dhamira yake ya kuuza hisa kwa umma itakayofuatiwa na   kujiunga kwenye   Soko la Hisa la Dar es...

Serikali yampokonya Mhe.Sumaye shamba lake..

Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amepokonywa na Serikali shamba lake lenye ukubwa wa hekta 33 kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuliendeleza. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,...

Ushindi umepatikana jana lakini Liverpool imepata pigo.

Philippe Coutinho amepata majeraha mabaya wakati wa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Liverpool dhidi ya Sunderland. Uwanja wa Anfield ulizizima kwa ukimya wakati fundi...

Yaliyowakuta Neymar, Messi yamemkuta pia Samuel Eto’o.

Baada ya mikasa na tuhuma za kukwepa kulipa kodi kuwaandama wachezaji wa timu ya Barcelona, Lionel Messi na Neymar Jr, sasa yamemkuta mchezaji wa...