Jengo La Ghorofa Saba Laporomoka Nairobi, 15 Hawajulikani Walipo

Karibu watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Leo Jumanne Juni 13,2017, katika moja ya mitaa maarufu...

Ripoti ya Pili ya Mchanga wa Madini Yamfikia Rais Magufuli

Ripoti ya Pili ya Mchanga wa Madini imemfikia Rais John Pombe Magufuli. https://www.youtube.com/watch?v=-htIDWMFD8c

Majina Ya Waliochaguliwa Kujiunga Kidato Cha Tano na Vyuo Vya Ufundi 2017

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi) George Simbachawene ametoa idadi ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na vyuo vya...

Orodha Ya Vyuo Vikuu Bora Zaidi Duniani Kwa Mwaka 2017

Orodha mpya ya kila mwaka ya vyuo vikuu bora zaidi duniani imetangazwa, ambapo chuo kikuu cha Massachusetts Institute of Technology (MIT) cha Marekani bado...

Wanamichezo Waliolipwa Pesa Nyingi Zaidi Mwaka Huu

Jarida la Forbes limetangaza orodha ya wanamichezo walioingiza mkwanja mrefu kwa mwaka huu na kwa mara nyingine tena Cristiano Ronaldo anaendelea kuishika nafasi ya...

Tamasha La Vunja Bei Expo Laacha Historia Dar Es Salaam

Tamasha la #VunjaBeiExpo lililofanyika Juni 2-4 kwenye viwanja vya Posta (Sayansi)  Kijitonyama laacha historia bada ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam kujipatia...

Panya Wageuka Tishio, Raia Kulipwa Kila Watakapowauwa

Maelfu ya panya wamevamia vijiji kadhaa katika manispaa ya mji wa Nga Pu Taw, kusini magharibi mwa jimbo la Ayeyarwady nchini Mynmar. Vyombo vya habari...

Alichokisema Rais Magufuli Wakati Wa Kumuapisha Mama Anna Mghwira

Rais Dkt. John Magufuli amemuapisha aliyekuwa mgombea urais mwaka 2015 Bi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na kusema anaweza kuitekeleza...

Rais Jacob Zuma Wa A.Kusini Atajwa Kwenye Skendo Nyingine Tena

Rais wa Afrika kusini Jacob Zuma anachunguzwa tena baada ya kuvuja kwa idadi kubwa ya barua pepe, zinazodai kugundua mtandao wa rushwa kati yake...

Ethiopia Yadaiwa Kuzima Huduma Ya Intaneti, Mitihani Chuo Kikuu Yatajwa Kuwa Chanzo

Serikali ya Ethiopia imezima mawasiliano yote ya huduma za mtandao wa Intaneti kwenye simu za mkononi bila kutoa sababu ya uamuzi huo. Mnamo mwaka jana,...