LATEST ARTICLES

Bilionea Bill Gates Avutiwa Na TanzaniaKajiunga Na Instagram Akiwa Muheza Tanga

Mkurugenzi wa Kampuni  ya Microsoft na Bilionea namba moja duniani Bill Gates yupo nchini Tanzania ambapo ana ziara ya kutembelea miradi na jamii mbalimbalimbali. Tofauti...

Marais Na Viongozi Mbalimbali Wampongeza Rais Kenyatta Kwa Ushindi Wake

Tume huru ya Uchaguzi nchini Kenya jana Ijumaa Agosti 11, 2017 imemtangaza rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa kiti cha urais. Viongozi mbalimbali wamemtumia salaam...

Forbes Yatoa Orodha Ya DJs Wanaoingiza Mkwanja Mrefu, Calvin Harris Anaongoza

Moja ya vitu ambavyo huzidi kuliongezea umaarufu Jarida La #Forbes ni kile kitendo cha kutoa takwimu za vitu/Watu ambao hufanya vizuri kwenye nyanja mbalimbali...

Mahakama Kuu Yaitosa CUF Ya Maalim Seif

Chama Cha Wananchi (CUF) upande wa Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad kmepata pigo jingine kufuatia Mahakama Kuu nchini Tanzania kutupilia...

Heri Muziki Kuhusu Kujiunga WCB, Maisha, Muziki Wake Na Mahusiano Na Diva

Wakati anaingia kwenye Game ya Bongofleva mashabiki walihukumu kuanzia muonekano mpaka aina ya uimbaji na ile aliyokuwa akiitumia Ben Pol, Taaratibu Heri Muziki akaanza...


wp booster error:
td_api_base::mark_used_on_page : a component with the ID: thumbnail is not set.

Umri Wa Rais Museveni Wa Uganda Umebadilishwa Utamruhusu Kugombea Tena Uchaguzi Ujao

Kwa muda mrefu sana kumekuwa na mijadala hasa katika mitandao ya kijamii nchini Uganda kuhusu umri halisi wa Rais wa nchi hiyo, Yoweri Kaguta...

Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wa CUF wamuunga mkono Profesa Lipumba

Wenyeviti 50 wa Serikali za Mitaa  wa CUF Mkoa wa Dar es Salaam wametangaza kuunga mkono uamuzi wa Baraza Kuu la Uongozi la CUF...

#ElectionsKE2017: Kinachoendelea Muda Huu Kwenye Vituo Vya Kupigia Kura Nchini Kenya

Macho na msikio ya wafuatiliaji wa siasa ulimwenguni kote kwa kiasi kikubwa yatakua yameelekezwa nchini Kenya ambako unafanyika wa Viongozi wa Serikali Kuu. Vyombo Mbalimbali...

Serikali Itafanya Juhudi Zake Kuwasaidia Wananchi Lakini Sio Vya Bure – Rais Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea kuwaonya Watanzania wenye tabia ya uvivu na kupenda kubweteka bila kujituma, huku...