LATEST ARTICLES

NAPE :NAWAOMBA WANANCHI MUUNGENI MKONO WAZIRI WA HABARI MPYA

Rais John Magufulli amemteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa, nafasi iliyokuwa inashikiliwa...

Video | Tekno – Yawa

Hivi tukisema kuweka ushabiki pembeni kwenye kumbukumbu zako baada ya kupata Tekno aliwahi kutoa ngoma gani ikabuma?, Binafsi ni mimi nitaitaja RaRa ambayo iliifuatia...

Barakah The Prince – Acha Niende (Official Music Video)

Baada ya kuridhika na mwenendo wa Nisamehe aliyofanya na "King Kiba" BarakahThePrince amewapa tena mashabiki wake kile kitu walikua wanamdai sio kingine bali ni...

Angalia Hapa Video Mpya Ya Trey Songz “Animal”

Trey Songz bado anaendelea na mchongo wake wa kudondosha ngoma mpya kuanzia Februari 16 mwaka huu ambapo aliachia Nobody Else But You. Zoezi hili...

Angalia Hapa Video Ya Wimbo Mpya Wa Orezi Na Vanessa Mdee “Just Like That”

https://www.youtube.com/watch?v=3D3fBnAEVp8&t=59s

Agongwa Na Treni Hadi Kufa Wakati Akipigwa Picha

Fredzania Thompson msichana wa miak 19 19, ambaye alikuwa anaanza kujikuza kama mwanamitindo, aligongwa na treni na kufariki alipokuwa anapigwa picha. Fredzania Thompson alikuwa anapigwa...

Magunia Ya Mamilioni Yakamatwa Uwanja Wa Ndege

Maafisa wa serikali nchini Nigeria wanasema magunia matano yaliyokuwa na mabunda ya noti yamegunduliwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kaduna. Pesa hizo zilipatikana...

Waislamu Wanakadiriwa Kufikia Hatua Hii 2070

Uislamu ni dini ya pili kwa ukubwa baada ya Ukristo kwa sasa lakini inakua kwa haraka sana. Hata hivyo hilo huenda likabadilika iwapo mwenendo wa...

Mourinho Amkingia Kifua Pogba

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho amesema Kukosolewa kwa Paul Pogba kwa hivi majuzi ,kumechochewa na 'wivu' na wanaomlenga kiungo huyo wa kati kwa...

Chukua Hii Ya Ndege Ya Wanawake Iliyotua Dar Es Salaam Leo

Shirika la ndege la Malawi, Malawi Airlines, limefanikiwa kukamilisha safari ya ndege iliyosimamiwa na wanawake pekee. Ndege hiyo imetua katika uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere...